Details
Description
JBL AIR f9 pro+ ni airpods mpya na za kisasa zenye uwezo mkubwa ikiwa ni pamoja na kutunza chaji kwa zaidi ya masaa 72, pia ina bass iliyochujwa isiyo kuwa na athari kwa afya yako pale unapo sikiliza, bila kusahau pia case yake ya kutunzia inasoma Asilimia ya kiasi cha chaji ilichonacho