Description
Nauza nyumba yangu milion 35,ipo mbez Beach africana, ipo mita 800 kutoka rami upande wa kushoto kama unaelekea tegeta, ina vyumba saba ,vyumba sita ni masta ipo karib na chuo na chuo hakina hostel,inafaa kwa hostel ,lodge, massage hata kupangisha, imerasimishwa , 0745-552-770