26.08.2024Dar es Salaam

Infinix Smart7hd, gb64 ram4gb

TZS 170 000

Description

Simu naiuza hiyo kama inavyoonekana pichani bei laki na Sabini bado Ina upya, Ina miezi sita toka inunuliwe na kutumika, unapata na charger yake niko Dar Mbezi-mwisho, mawasiliano 0718036880.

Rey S.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam