12.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

USB male TO USB female 1.5M

TZS 15 000

Condition:

NEW

Description

USB male to USB female Hii unaweza kuitumia kwenye TV yako kuepuka zile heka heka za kuchoma na kuchomeka unaweza kuidondosha TV yako au uvunjia Flash ndani . Sasa ukitumia USB male to USB female itakupa urefu wa kutosha na kuepuka hatari ya kuidondosha TV yako ikiwa ukutani au mezani kwako na kwa mtoto pia.

Trust-biz-zone

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam