Condition:
NEW
Description
Msimu huu wa SIKUKUU tunakuletea offer kabambe ya furniture mbalimbali kutoka THE HARK FURNITURES wategenezaji wa furniture za majumbani na maofisini kwa Bei nafuu kabisaa. Tunapatikana Keko Makurugus(Dar es salaam). Mafundi wetu ni wabobezi na wanauzoefu wa kutosha ili kukupendezeshea mjengo wako Tunategeneza furniture za aina zote kama ?sofaset,vitanda, meza, coffee table, stool, dressing table, dinning table, kitchen cabinets na kadhalika Bei zinatofautiana kulingana na design na uhitaji wako