Condition:
NEW
Description
?? DIGITAL ELECTRONICS PRICE WEIGHT SCALE Tunauza Mizani za kisasa kwa ajili ya matumizi ya Duka,Bucha,Majumbani,Jikoni na Biashara mbalimbali . ?? *Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia 1g mpaka 40kg(kilo arobaini) kwa kadirio zuri na la uhakika sana. ?? *Pia ni mizani Bora na salama kwa matumizi ya Buchani kupimia uzito wa Nyama,Samaki,Kuku na Dagaaa n.k* .?? Mizani hizi zina uwezo wa kupima; ✓UNGA ✓MCHELE ✓MAHARAGE ✓SUKARI ✓NYAMA ✓SAMAKI ✓DAGAA ✓KUKU ✓MATUNDA ✓n.k ??Mizani hii ya kisasa ina sehemu ya screen kwa ajili ya kuonyesha bei na kilo.?? Ubora* ✓Mizani zetu ni imara Sana na unaweza kuchaji na Kisha kutumia kwa mwezi na nusu bila kuchaji tena, ✓Mizani hii itakuongezea uaminifu kwa wateja wako kwa kua inaonyesha fixed amount and quantity (kiasi Cha bei na uzito halisi) ✓Mizani zetu zimepimwa na kuhakikiwa ikiwa pamoja na sticker ya serikali kwa matumizi ya biashara yako. ✓Njooo ujipatie kilichobora zaid. *Huduma ya delivered* ??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.?? *Price:145000/=*