11.03.2020Tanzania, Dar Es Salaam

MOUSE WIRELESS LOGITECH

TZS 40 000

Condition:

NEW

Description

Mouse wireless Logitech M171,inaconnect hadi umbali wa mita 10. Huitaji kuweka drivers,hii ni plug and play. Ina connect kwa computer yeyote ambayo inatumia Windows 7,Windows 8,Windows 10 au zaidi,Mac Os X10.8 au zaidi,Chrome OS. Logitech ni kampuni inayo ongoza duniani kwa kutengeneza mouse bora.

SOMTECH C.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam