19.09.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Money Counter/Mashine ya kuhesabu hela

TZS 255 000

Condition:

NEW

Description

ZIJUE SIFA ZAKE KWA LUGHA MAMA; 1. Inatambua Pesa Iliyofeki kwa Kupiga Alam ikipita 2. Inahesabu Milioni moja Ndani ya Dakika moja TU. Speed yake ni kali 3. Inatumia UV na MG kutambua aina ya noti 4.Inaweza kukupangia hela kwa batch jinsi utakavyotaka mfano unaweza kuhesabu laki laki au milioni milioni kwa mafungu 5. Inakuja na Display ya nje kwaajili ya mteja

BMF

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam