Condition:
NEW
Description
Mashine za kutengeneza juice ya miwa zinauzwa. Ziko 2 ni manual. Kama unavyoona 1 iko kwenye boksi bado haijawahi kutumika kabisa. Na 1 iliyoko juu ya meza ndo imetumika kidogo kama week 3 na imefungwa mota kabisa. Na mota inatumia petrol kiasi kama lita 1 hivi haili mafuta sana. Ziko dar eneo la Chang’ombe ya Veta. Bei ni maelewano na mteja. Karibuni sana.