image

15.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

KITCHEN CABINET SAFI

TZS 150 000

Description

Hii ni kitchen cabinet yenye milango mitatu na droo moja,,,ni kubwa sana ukichukua hii, wala hauitaj kununua kabati la vyombo yaan namaanisha ni two in one NALITOA KWA OFFER YA 150,000/= TU na usafir utachangia kiasi kidogo cha elf 5 tu popote ulipo tunakuletea

Kwanga f.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam