Description
Tunauza ,kutengeneza pamoja na kufanya repair ya makabati aina zote ,bidhaa zetu zina ubora wa Hali ya juu na utazipata Kwa gharama nafuu ,pia tunapokea order za furniture aina zote , Bei zetu zinalingana na thamani na ubora wa kabati unayohitaji karibuni sana