Description
Ifanye nyumba yako ya kisasa zaidi kwa kufungiwa WALLBOARD TV CASE na SMART FURNITURE EMPIRE ambayo inalingana na ukubwa wa ukuta wako kwa kutumia mbao ngumu ndani ya siku 5 tuna tengeneza pamoja na kuifunga nyumbani kwako.Tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki.Tupo mwenge lufungila nyuma ya zamani Calabash pub.Tupigie kwa namba 0753604953