Condition:
NEW
Description
Kwa vitanda vya kijanja Kama hivi Usichelewe fanya kuichangamkia Offer yako maana ujanja ni kuulaza ubavu wako sehemu yenye usalama zaidi. Tunapatikana Mwananyamala A. Size ni futi 5 kwa 6. AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM, ZINGATIA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO BILA KUSAHAU NA MIKOANI TUNATUMA PIA. NYOTE MNAKARIBISHWA.