Condition:
NEW
Description
Kwa vitanda vya kijanja Kama hivi Fanya uwahi kuichangamkia Offer yako maana Bei zetu ni nafuu,Usikubali kukosa mambo mazuri Kama haya. Kitanda Size ni futi 5 kwa 6 na godoro lake ni ujazo wa Inchi 8 futi 5 kwa 6 pia. Tunapatikana Mwananyamala A. AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM. ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO. NYOTE MNAKARIBISHWA