Condition:
NEW
Description
Kwa vitanda vya kijanja Kama hivi na godoro lake fanya kutucheck sasa hivi ili uweze kuichangamkia Offer yako Vitanda ni vya sofa na Imara na pia vinahimili mitikisiko Size ni futi 5 kwa 6 AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO Tunapatikana Mwananyamala A