Condition:
NEW
Description
Tunauza Vitanda vya Valvet kwa Bei nafuu na ni Imara Usikubali kutapeliwa na baadhi ya janja janja ya mitandao wahi sasa ili uweze kuichangamkia Offer yako. Tunapatikana Mwananyamala A AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM LAKINI BILA KUSAHAU NA MIKOANI TUNATUMA PIA ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO Size zote zinapatikana Kwa icho hapo ni futi 5 kwa 6