Condition:
NEW
Description
Tunauza Vitanda vya Sofa( Bed Sofer) Vitanda ni Imara na vinahimili mitikisiko ya kila aina,wahi sasa ili uweze kuichangamkia Offer yako maana ujanja ni kuulaza ubavu wako sehemu yenye usalama zaidi. Size zote zinapatikana, Tunapatikana Mwananyamala A AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM BILA KUSAHAU NA MIKOANI TUNATUMA PIA ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO