Condition:
NEW
Description
Tunauza Vitanda vya Sofa (Bed Sofer) Vitanda ni Imara na vinahimili mitikisiko katika vurugu mechi, Usikubali kutapeliwa wahi sasa ili uweze kuichangamkia Offer yako, Pia unaweza ukaagiza na ukaletewa popote pale ulipo ndani ya DAR ES SALAAM,Lakini bila kusahau kwa wale walioko Mikoani yaani nje ya DAR ES SALAAM tunatuma pia kwa endapo vigezo na masharti vikizingatiwa. Tunapatikana Mwananyamala A Size zote zinapatikana.