Condition:
NEW
Description
Tunauza Vitanda vya sofa, Vitanda ni Imara na vina stahimili mitikisiko Wahi sasa ili uweze kuichangamkia fursa yako. Tunapatikana Mwananyamala A AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA ULIPO. Size ni futi 5 kwa 6