Condition:
NEW
Description
Baada ya kufika kwa mteja mchana wa leo. TV SHOWCASE yenye upana wa futi 5 tuna tengeneza kwa muda wa siku 2 tuh na siku ya 3 una kabidhiwa cha kufanya ni kuweka order yako. Tupo mwenge lufungila nyuma ya zamani Calabash pub, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki. Tupigie kupitia namba ya 0753604953 au WhatsApp 0693940068 NYOTE MNAKARIBISHWA