26.02.2022Dar es Salaam

SOFA SETS

TZS 2 500 000

Description

Tunauza, kutengeneza pamoja na kufanya repair za sofa aina zote Kwa Bei nafuu,sofa zetu zinaubora wa Hali ya juu na utazipata Kwa gharama nafuu kabisa pia tunapokea order za furniture aina zote ,sofa zetu ni Kwa seti ambayo inakuwa 3:2:1:1

MWANER H. D.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam