Description
Sofa la L dhape la watu wanne lenye rangi nzuri ya apple green likiwa lime sheheni fiber pamoja na spring kwa ajili ya kukupa confit ability na kukulinda usipatwe maradhi ya uti wa mgongo. Tupo mwenge lufungila nyuma ya zamani calabash pub, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki 0753604953.