Description
Sofa la L la watu watatu lililo tengenezwa kwa kitambaa kizito aina ya velvet, likiwa limesheheni fiber pamoja na spring kwa ajili kutoumiza mwili wako.Tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki.Tupo mwenge lufungila nyuma ya Calabash pub zamani.Tupigie kupitia nambari 0753604953