Description
Njoo SMART FURNITURE EMPIRE ujipatie sofa la L la watu watatu lililo tengenezwa kwa kitambaa kizito aina ya velvet likiwa limesheheni fiber pamoja na spring kwa ajili kutoumiza mwili wako. Tuna tengeneza kwa muda wa siku 4 tuh na siku ya 5 una kabidhiwa.Tupo mwenge lufungila nyuma ya Calabash pub zamani, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki.Wasiliana nasi kupitia nambari 0753604953