15.02.2022Tanzania

Show racks ( Makabati Ya Viatu ) Designers

TZS 350 000

Description

Tunauza ,kutengeneza pamoja na kufanya repair za show racks aina zote (pamoja na furniture aina zote),tunatengeneza Kwa ukubwa tofauti tofauti kulingana na eneo lako unapohitaji kuiweka pamoja na design tofauti tofauti Kwa kuzingatia chaguo lako ,show racks zetu ni imara na zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa , karibuni sana

MWANER H. D.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location