Condition:
NEW
Description
Meza na tv stand ya tv full set Ndugu mteja wetu ni ww tu kama utataka moja au complity Usafiri ni bure mpaka ndani kwako Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam Mkoani tunatuma pia kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi