21.11.2023Dar es Salaam

Nyumba inauzwa , Msakuzi Mbez

TZS 160 000 000

Description

Nyumba inauzwa , Msakuzi Mbezi, Ubungo Municipal, Dar Es Salaam, kilometres 6 kutoka barabara ya Goba - Mbezi kupitia Makabe. Kiwanja chake kina hati. Nyumba ipo kwenye uzio wa ukuta wenye electric fence, ina stand-by solar power backup system kwaajili ya umeme, ina mifumo ya kukusanya na kuhifadhi maji ya mvua ambayo yanakidhi kwa matumizi ya mwaka mzima na kuna automatic pumpambayo ina supply nyumba nzima. Ina nyumba kubwa yenye bedrooms 3 na moja ni master, sitting room, dinning room,ml 160

Zephania V.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam