Description
nyumba inauzwa mbagala chamanzi saku ilulu pamoja na fondesheni hiyo unayo iyona hapo pembeni bei milioni 18 maongezi yapo kidogo pg sm 0672747232 inavyumba vitatu vya kulala chumba kimoja master bedroom inasting room daining room jiko stoo pablic toileti kalibu saana mteja wangu