Description
NYUMBA INAUZWA NA BANK KIMARA STOP OVER (DAR ES SALAM) Ina Apartment Mbili Moja Ina Chumba,Sebulen Na Choo Cha Ndani Pia Nyingine Ina Vyumba Viwil Kimoja Master,Sitting,Kitchen&Public Toilet Kuna Frem Tatu Za Biashara Zote Zina Wapangaji Umiliki: Hati Ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement) Ukubwa Wa Eneo: SQM 600 Umbali : Meter 300 Kutoka Barabara kuu Morogoro Road Mark : Serikali Ya Mtaa Ya Stop Over Bei : 75 Million (Makadirio) Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=. Contact