Condition:
NEW
Description
Nyumba ina Vyumba vitatu Open Living Stoo Dinning Room Air Conditioning Jiko Tank mbili za kuhifadhia maji Maji moto vyumba vyote Uzio wa Umeme Parking kubwa kabisa Nyumba Nzuri sana Ipo Moshi mkoani Kilimanjaro Uru seminary Bei Million 340 Ikiwa na Vitu vyake ndani au Milion 280 Bila vitu vya ndani MAONGEZI YAPO Simu 0715781988 WhatsApp 0755781988