Condition:
NEW
Description
TUNAUZA MONEY ENCOUNTER MASHINE KWA AJILI YA KUHESABU HELA. KWANI INAKUPA UHARAKA WA KUFANYA KAZI KWA UHAKIKA NA UFANISI MKUBWA. PIA INAKUSAIDIA MTOA HUDUMA KUJUA HELA ZILIZO FEKI NA AMBAZO ZIMEHARIBIKA. UNAWEZA KUBORESHA OFISI AKO KUWA YA KISASA ZAIDI KWA KUCHUKUA BIDHAA KUTOKA KWETU KARIBUNI SANA.