13.01.2022Tanzania,

Meza za kisasa

Negotiable

Description

Habari za jion wapendwa wangu Natumaini mnaendelea vyemaLeo nimewaletea vitu vya tofauti vitu ambavyo mtu akiingia kwako lazima astuke kidogoNi meza nzuri za kisasa Za kisasa na za kipekee munoooZinazofanya nyumba yako iwe kitofauti na ya kuvutia sanaKauli mbiu yetu 2022#PAMBA NYUMBA KITOFAUTI#MM LULU PAMOJA NA WW TUTAWEZA KUTIMIZA HILO KAZI YANGU NI MOJA KUKUSOGEZEA BIDHAA NZURI NA ZA VIWANGOPAMOJA TUNAWEZA

Lulu

Member since 2015.
xxx xxx xxx xxx

User

Location