31.05.2023Dar es Salaam

Mashuka ya cotton

TZS 35 000

Description

Haya ni mashuka ya cotton pure Ni Ile cotton nzito Hayapauki wala kutoa rangi ukifua Hayatelezi wala kutoa vipele Ubora umezingatiwa 👌 Shuka 1 foronya 2 size ni 8*8, Linatosha vizuri kitanda na godoro size yoyote Unapata kwa sh 35000 tu!! ☎️0653401853 Tupo Tabata Posta na tunafanya Delivery popote ulipo

ARAPHA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam