Condition:
NEW
Description
Tunauza Magodoro ya BESTI ARUSHA Ambayo yana Warranty ya miaka 8 Size ni 5x6 Inchi 8 Ni mazuri kwa Afya ya Usingizi wako Tunapatikana Mwananyamala A. AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM. ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO. NYOTE MNAKARIBISHWA.