Condition:
NEW
Description
Tunauza Godoro za Tanfoam Ni godoro nzuri kwa Afya yako Usikubali kuupoteza Usingizi wako kwa kuulaza mwili wako katika sehemu ambazo si rafiki kwa malazi Sasa wahi kuichangamkia fursa yako ALILOLILALIA BABU HADI MJUKUU ANALITUMIA Size ni futi 5 kwa 6 Inchi 8 AGIZA ULETEWE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA DAR ES SALAAM ZINGATIA YA KUWA MALIPO NI BAADA YA BIDHAA YETU KUKUFIKIA PALE ULIPO Tunapatikana Mwananyamala A