Condition:
NEW
Description
Kama unataji magodoro mengi basi tuwasiliane Utapata offa ya punguzo la Bei kama utachukua godoro nyingi Kwanzia 5 Kama unaitaji godoro Moja pia utapata Size zote zipo 5 x 6 x 6 5 x 6 x 8 5 x 6 x 10 5 x 6 x 12 Usafiri ni Bure utaletewa Kama ni mkazi wa dar es salaam