Description
Baada ya kufikisha kwa mteja sinza mori. Njoo ujipatie sofa bed 5 kwa 6 au 6 kwa 6 design hii ambayo tuna tengeneza ndani ya siku 3 na siku ya 4 una kabidhiwa, tupo mwenge lufungila nyuma ya calabash pub. Tuna fungua ofisi kuanzia saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku. wasiliana nasi kwa simu namba 0753604953.