14.07.2023Dar es Salaam

Kitanda 5 kwa 6

TZS 700 000

Description

njoo ujipatie kitanda hichi cha 5 kwa 6 kikiwa na bedsides zake zenye night lamp pambeni na sehemu ya kuchajia simu pamoja na bed-bench kwa pamoja kwa gharama nafuu tuh ya 700,000/= tupo mwenge lufungila nyuma ya zamani calabash pub au tupigie kwa simu namba 0753604953

Smart F. E.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam