Condition:
NEW
Description
Mwamvuli mkubwa imported from UK, una upana mkubwa wa meter 3 na urefu wa centimeters 240. rangi ya mwamvuli ni Cream color. unatumika kwenye Bar, restaurant, swimming pool, Hotel, shop e.t.c tunakuletea popote ndani ya Dar na utalipia mzigo baada ya mzigo kukufikia ulipo. zimebaki miamvuli mitatu pekee. contact; 0627219004