01.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

GODORO NZURI 5 x 6

TZS 370 000

Condition:

NEW

Description

Rafiki yangu bila kupepesa macho kwanza karibu Alafu nakujuza ivi Kama unaitaji godoro ile og ulale ujisikie Kama upo mbinguni basi ndio hii ninayo Inaondoa maumivu ya mgongo Aibonyei Density 28 Warranty miaka 7 hadi 12 Unalikosaje hili godoro rafiki yangu chukua namba zangu hapo fanya juu chini tuwasiliane Na Mimi nitakuletea nyumbani kwako usafiri BUREee

Kimago Magodoro

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam