01.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

GODORO BORA AFRICA size 5 x 6 inch 12

TZS 550 000

Condition:

NEW

Description

TUMIA GODORO BORA SIO BORA GODORO; Rafiki yangu usiniumize kichwa utapata wapi godoro nzuri bora ya kudumu na itakayo kuondoleo maumivu ya mgongo. VITASUPREME NI GODORO. 1} vitasupreme inakava nzuri Sana na aifumuki. 2} vitasupreme ni godoro yenye uwezo wa kuondoa maumivu ya mgongo. 3} vitasupreme ina Density kubwa 28 kazi ya density kuhimili uzito wa mtu/watu wanao laleo ivyo aiwezi kuweka mashimo. 4} vitasupreme ni godoro inayo yenye warranty miaka 7 hadi 12. TUNA OFFA YA BEI, USAFIRI PAMOJA NA ZAWADI; 1) 5X6 inch 8 =lipia 400,000 usafiri bure. 2) 5 x 6 inch 10 =lipia 550,000 usafiriGODORO YA AFRICAN unangoja nini rafiki yangu kuagiza godoro hili ambalo lina tikisa Africa Kwa ubora wake. Hii ni vitaspreme 1.ina ondoka maumivu ya mgongo, kiuno 2. inakava nzuri nzito, aiweki mashimo wala kufumuka 3. ina density kubwa ya 28 warranty miaka 7 hadi 12 TUNATOA OFFA YA USAFIRI BURE KWA WATU DAR ES SALAAM NA NJE YA MKOA WA DAR ES SALAAM

Kimago Magodoro

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam