17.09.2023Dar es Salaam

Ghorofa moja nauza mbz beach

TZS 550 000 000

Description

ipo mbez beach mtaa wa tank bovu kama waelekea baharini kuna rooms 3/juu na chin 1 kuna sebule, jiko, dinning na public toilets eneo ni sqm 890 na ni kona plot pana hati

Tanzania H. B.

Member since 2017.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam