Description
Apartment ya Vyumba viwili Kimoja Master. Ndani ya Fensi. Parking pavings Gari moja. Luku binafsi. Maji Dawasa. Karibu na Barabara ya Bagamoyo. Hakuna hela ya Dalali. Kodi Miezi sita. Contact 0713309952 (WhatsApp) au 0759226442 au 0714222445.