Condition:
NEW
Description
Kodtec 4 in 1 Food processor Machine inakuja na juicer, blender, mincer na dry mill *Juicer extractor inasaga matunda a kuchuja yenyewe na kupata juisi fresh. *blenda inasaga matunda aina zite *Mincer inasaga nyama, viungo na mbogamboga *dry mill inasaga vitu vikavu kama vile karanga, sukari, kahawa n.k Warranty ni mwaka mzima