Description
makabati ya nguo ya vioo yanauzwa.... makabati makubwa yapo matatu vipimo vyake ni UREFU futi 7 na inch 10 na UPANA ni futi 6 na inch 2....kila moja nauza 750,000 kabati lingine vipimo vyake ni UREFU futi 8 na inch 3 na UPANA ni futi 3...nauza 400,000