Condition:
NEW
Description
2 in 1 unaweza itumia kama headphone(kuongea na simu na kusikiliza music) au waweza itumia kama saa Hizi wanavaa jinsia zote,vijana na watoto na hata wazee,pia Inakupa uwezo wa kupima;- •blood pressure •heart rate •step count •sleep monitoring •calories nk,,,,,, •Ni saa nzuri hata kwa wanaofanyamazoezi Kuwa smart,smart phone huku ukivaa smart watch!