Condition:
NEW
Description
Simu Ya Bajeti ndogo inayofanga vizuri, Uwezo na Kamera. Hakika Redmi Xiaomi Wanaupiga Mwingi sana hapa ipo kwenye Top 10 simu zilizonunuliwa zaidi Duniani 2021. Storage 32 GB RAM 2 GB Camera 13 MP Selfie 5MP Display 6.53 Inches Dual SIM (Double Line) Network 4G Android 10 update to 11 Battery 5,000 mAh Karibuni "Dee Phones" Facebook, Instagram na Twitter Tunapatikana Kariakoo Mtaa wa Aggrey na msimbazi Ahsante