Condition:
NEW
Description
Ni X8+ (series7/watch7) kwa Tsh 45,000 tu Kwnn ununue X8+? ✳️Kwanza ni fullscreen ✳️Inapiga simu na kupokea ✳️Unaweza kuweka pict yako kwny saa ✳️Ina wallpaper nyng kuchagua ya kuweka ✳️Unaweza kuweka password ✳️Ina games ✳️ina scroll button kuwezesha kuchange au kuzoom in or out ✳️lkn Inakupa uwezo wa kupima;- ✳️blood pressure ✳️bloodOyxgen ✳️heart rate ✳️step count ✳️sleep monitoring ✳️calories nk,,,,,, Pia unaunganisha na simu yako kukuletea notification za simu yako kuja kwa saa yako ya mkonon,kama;- ✳️whatsapp ✳️facebook ✳️instagram ✳️simu na msg za simu yako nk!