Condition:
NEW
Description
Kwanza ni fullscreen Inapiga simu na kupokea Unaweza kuweka pict yako kwny saa Ina wallpaper nyng kuchagua ya kuweka Unaweza kuweka password Ina games lkn Inakupa uwezo wa kupima;- •blood pressure •bloodOyxgen •heart rate •step count •sleep monitoring •calories nk,,,,,, Pia unaunganisha na simu yako kukuletea notification za simu yako kuja kwa saa yako ya mkonon,kama;- •whatsapp •facebook •instagram •simu na msg za simu yako nk!