17.10.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Tunauza na kufunga mashine ya kuchuja chumvi kwenye maji

TZS 6 000 000

Condition:

NEW

Description

Tunauza na Tunafunga mashine za kupunguza madini ya chumvi kwenye maji.Faida nyingine ya mashine hizi ni kwamba haziondoi tu kiwango cha chumvi lakini pia zinaondoa bacteria, uchafu, michanga au tope, metali na vitu vingine visivyohetajika kwenye maji, na kufanya maji yako kuwa salama kwa kunywa wakati wote. Karibu tukuhudumia, huduma zetu zinafika mikoa yote. UNAWEZA KUFANYA MALIPO KWA AWAMU.

Jackson Honoratus

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam